Jamani wee! Wakazi wa Dar kwa Shs 95000 tu Tukampuzike Camp
Inalipia: Usafiri, Malazi, Chakula maji ya kunywa.
Mnapewa na Mbuzi mzima na Kuku 5 kuchinja wenyewe.
Trip:
Kila jumamosi kuanzia saa 5:00 asubuhi
Usafiri: Hice
Vituo: Magomeni M/chai Petrol station, Manzese, Ubungo, Kimara, Kibaha hadi Ubena Bwawani.
Nafasi 12
Safari: masaa 2.30.
Kupumzika njiani:
Msolwa baada ya Chalinze.
Ratiba:
- Kupatiwa vyumba
- Lunch - vyakula vya asili mchanganyiko.
- Kufahamishwa na kutembelea maeneo ya camp na kupiga picha
- Kurejea vyumbani kuoga nk.
- Kurejea eneo la terrace mtoni kupata upepo wa mto.
- 1.30 jioni Dinner.
- Saa 2.00 mkesha Campfire/moto wa kibantu na nyamachoma mbuzi/kuku wa kienyeji na vinywaji kwa bidii yako.
- Jumapili asubuhi kuamka saa 3:00
- Saa 3:30 asubuhi supu ya nguvu.
- Saa 4:00 asubuhi - 6 00 alasiri Utawala binafsi.
- Saa 6:30 alasiri Lunch.
- Saa 7:30 alasiri Safari ya kurejea Dar es salaam inaanza.
Jamani hujapumzisha akili bado?!
Mambo yote Ngerengere River Eco camp
Mr. Remigius Mushenga
Mobile/Whatsapp +255787933579
Jina la benki: Tanzania Commercial Bank
Jina la akaunti: Ngerengere River Eco Camp/Tour
Numa la akaunti: 330207000033
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com